Gari la hifadhi ya senapa likiwa limekwama karibu na hoteli ya Kirawira mjini Mugumu -Serengeti
NOAH ILIOKOA JAHAZI BAADA YA WANANCHI KUSHINDWA
HATIMAYE ILINASULIWA,KWA KIPINDI HIKI CHA MASIKA MITARO YA BARABARA YA MUGUMU INAYOJENGWA KWA IWANGO CHA LAMI ,MAENEO YENYE MADARAJA IMEGEUKA MATESO KWA MADREVA WA MAGARI NA BODABODA
Friday, November 13, 2015
Home »
» MITARO ILIYOCHIMBWA NA KAMPUNI YA SAMOTA BARABARA YA MUGUMU MJINI IMEGEUKA MATESO KWA MADREVA
0 comments:
Post a Comment