Diwani wa kata Mosongo Samson Mrimi(Chadema)akimwangalia fundi baada ya kugharamia matengenezo ya kisima cha maji Kenokwe ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa kwa wananchi wakati wa kampeini kilichoharibika toka mwezi julai mwaka huu,picha zote ni kwa hisani ya Serengeti Media Centre
0 comments:
Post a Comment