Hapo ni katikati ya mji wa Mugumu eneo la Kirawira hoteli ,limegeuka kuwa eneo hatarishi chanzo kikiwa ni kampuni inayojenga barabara ya mjini kwa kiwango cha lami kuchimba mitaro kwa muda mrefu na kuiacha bila kuifukia kama inavyoonekana.
Hatarai harati kubwa eneo hilo kila siku magari yanakwama
Hata hawa walikwama hapo hapo,
Hata hii nayo ilikwama hapo hapo,
Monday, November 16, 2015
Home »
» KAMPUNI YA SAMOTTA INAYOJENGA BARABARA YA MUGUMU WILAYANI SERENGETI INASUBIRI MAGARI YAPINDUKE NDIPO WASHUGHULIKIE MAENEO WALIYOCHIMBA.
0 comments:
Post a Comment