Fahari ya Serengeti

Tuesday, November 17, 2015

SAMOTTA WASHUGHULIKIA ENEO KOROFI MJINI MUGUMU SERENGETI

 Mafundi wakiendelea na kazi ili kuhakikisha eneo hilo korofi linadhibitiwa ili kuepusha madhara makubwa ambayo yangeweza kutokea ...

Monday, November 16, 2015

WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAHITIMU CHUO CHA UFUNDI

BAADHI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA UFUNDI WAKIWA UKUMBI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA SERENGETI KWA AJILI YA KUPOKEA VIFAA ,HAPA KAZI TU. DED NAOMI NNKO NA DC ALLY MAFUTAH NDIYO WAKISIKILIZA NASAHA TOKA KWA WAHITIMU KABLA YA KUWAKABIDHI ZAWADI. HERI MTANISA MRATIBU...

KAMPUNI YA SAMOTTA INAYOJENGA BARABARA YA MUGUMU WILAYANI SERENGETI INASUBIRI MAGARI YAPINDUKE NDIPO WASHUGHULIKIE MAENEO WALIYOCHIMBA.

 Hapo ni katikati ya mji wa Mugumu eneo la Kirawira hoteli ,limegeuka kuwa eneo hatarishi chanzo kikiwa ni kampuni inayojenga barabara ya mjini kwa kiwango cha lami kuchimba mitaro kwa muda mrefu na kuiacha bila kuifukia kama inavyoonekana.  Hatarai...

Saturday, November 14, 2015

DIWANI MTEULE WA KATA YA MOSONGO SERENGETI(CHADEMA)AANZA KUTEKELEZA AHADI KABLA YA KUAPISHWA

 Diwani wa kata Mosongo Samson Mrimi(Chadema)akimwangalia fundi baada ya kugharamia matengenezo ya kisima cha maji  Kenokwe ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa kwa wananchi wakati wa kampeini kilichoharibika toka mwezi julai mwaka huu,picha zote ni kwa...

MITARO YA BARABARA YA MUGUMU MJINI SERENGETI YAENDELEA KUTESA MADREVA.

 moja ya gari lililokwama katika mtaro wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha Lami Mugumu mjini,eneo hilo lililo karibu na hoteli ya Kirawira limegeuka kero kwa madreva wa magari,boda boda na watembea kwa miguu Gari la hifadhi ya Taifa ya Serengeti...