Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Naomi Nnko akisisitiza walimu wakuu na waratibu elimu kata kutumia fedha zilizotolewa kwa kuzingatia miongozo ya serikali,atakayekiuka atachukuliwa hatua kali,kushoto ni afisa elimu wilaya William Mabanga na kulia ni Das Cosmas Qamara
Mwalimu wa darasa la nne shule ya Awali,Msingi na Sekondari ya Twibhoki wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Thobias Magesa akimpongeza Frank Mugeta(12)aliyeongoza kitaifa mtihani wa darasa la nne mwaka 2015,ikiwa ni mwendelezo wa shule hiyo kufanya vizuri kwenye mitihani mbalimbali ya kiwilaya,kimkoa na kitaifa.