Fahari ya Serengeti

Sunday, February 28, 2016

RADI YAUA MIFUGO 34 BURUBGA SERENGETI


 NG'OMBE 20,KONDOO 12 NA MBUZI 2 MALI YA OKOLA MAGIGE WAMEKUFA BAADA YA KUPIGWA NA RADI KATIKA KIJIJI CHA BURUNGA KATA YA UWANJA WA NDEGE WILAYANI SERENGETI
 WANANCHI WAKIWA HAWAAMINI KILICHOTOKEA.
 TUKIO HILO LILIBEBA HISIA TOFAUTI TOKA KWA WAKAZI WA WILAYA HIYO,HATA HIVYO FEB 26  MWAKA HUU MAJIRA YA SAA 3.30 USIKU KTK KIJIJI HICHO RADI ILIPIGA TRANSFOMA YA UMEME NA KUSABABISHA MJI WA MUGUMU KUKOSA NISHATI HIYO,NA FEB 27 SAA 8.45 ARASILI NDIPO IKASABABISHA MAJANGA HAYO




0 comments:

Post a Comment