Katibu wa Chodawu Mkoa wa Mara Daudi Mapuga akitoa ufafanuzi kabla ya Uchaguzi kuanza
Mwenyekiti wa muda akisisitiza jambo
Wanafuatilia maelekzo
Wanabadilishana uzoefu
Kura ni ya siri kama inavyoonekana hapo |
Kura zinahesabiwa
Mawakala wa wagombea walikuwepo
Mwenyekiti wa Chodawu Tawi la Ikona Wmas Roti Roti akiwashukuru wajumbe kwa kumchagua kwa kura 30 na moja kumkataa
Katibu wa Tawi Samwel Nyaheremba anasema hapo kazi tu
0 comments:
Post a Comment