Fahari ya Serengeti

Tuesday, October 27, 2015

PICHA ZA MATUKIO YA MATOKEO YA UBUNGE SERENGETI

 Askari polisi wakiwa wameimarisha ulinzi kudhibiti wananchi waliokusanyika ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo wakisubiri matokeo ya ubunge ambapo Marwa Ryoba Chadema alimbwanga naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Stephen Kebwe CCM.

 Mvua inyeshe,jula liwake,mabomu yapigwe sisi tunasubiri matokeo,hakitoki kitu mpaka kieleweke kauli kutoka kwa wananchi hao ambao walisema sheria ya mita 200 ilikuwa wakati wa kupiga kura si kusubiri matokeo.
 Msimamzi wa uchaguzi jimbo hilo Naomi Nnko akiendelea na kazi huku mbunge mteule akifuatilia kwa makini kusijetokea uchakachuaji.
 Ulinzi umeimarishwa


 Mpaka mwisho tutaibuka washindi wanaimba
 Mbunge mteule Marwa Ryoba akiwa na hati yake baada ya kukabidhiwa na msimamizi wa uchaguzi



sikiliza hiyo

0 comments:

Post a Comment