Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema anayeundwa na vyama vinavyounda katiba ya Wananchi,Ukawa Edward Lowassa akielezea sera za chama chake wakati wa mkutano wa kamepini Uwanja wa Sokoine Mugumu wilayani Serengeti.
Ana nadi sera zake
Wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.
Mgombea Urais akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Marwa Ryoba
Mtampa kura........
Polisi wakiwa katika ubora wao kuhakikisha hakina rabsha katika mkutano huo .
Wapiga picha nao walikuwepo
Ni utulivu tu hapa
Anawanadi Madiwani
Mwangalizi wa uchaguzi toka Temco akiulizia jambo
Mara baada ya mkutano tayari kwa safari ya kuelekea Nyamongo
Umati wa wananchi wakiwa katika ubora wao
Wakiingia jukwaa kuu
Haya nayo yalikuwepo
Ulinzi uliimarishwa kila kona
Saturday, October 10, 2015
Home »
» MATUKIO YA MKUTANO WA KAMPEINI WA LOWASSA SERENGETI
0 comments:
Post a Comment