Wenye kupiga picha walipiga,kuimba na kucheza nao walikuwepo
Helkopita ikutua uwanja wa NHC mjini Mugumu
Wanafuatilia matukio hatua kwa hatua
Hapa kazi tu wanaendelea
Mwigulu alimwaga sera na kuwaombea kura wagombea wa chama hicho.
kila mmoja alifika kivyake,wenye ujumbe haya ,wenye mabango nao hawakukosekana kama inavyosomeka hapo.
SImu za mchina zinaendelea kuchukua kumbukumbu
Ulinzi uliimarishwa
Dk Anthony Dialo akimnadi mgombea ubunge viti maalum
Mgombea udiwani kata ya Mugumu naye aliomba kura
0 comments:
Post a Comment