Fahari ya Serengeti

Thursday, October 29, 2015

SHAMRA SHAMRA ZA USHINDI WA MAGUFULI SERENGETI

 Wakazi wa mjini Mugumu wilaya Serengeti wakiserebuka serebuka baada ya kupokea matokeo ya urais












Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA UCHAGUZI YA UBUNGE JIMBO LA SERENGETI

 Mbunge mteule wa jimbo la Serengeti Mkoa wa Mara Marwa Ryoba akifuatilia ujumlishaji wa kura.
 Dk Stephen Kebwe akifuatilia ujumlishaji wa kura ,hata hivyo alianguka








PICHA ZA MATUKIO YA MATOKEO YA UBUNGE SERENGETI

 Askari polisi wakiwa wameimarisha ulinzi kudhibiti wananchi waliokusanyika ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo wakisubiri matokeo ya ubunge ambapo Marwa Ryoba Chadema alimbwanga naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Stephen Kebwe CCM.

 Mvua inyeshe,jula liwake,mabomu yapigwe sisi tunasubiri matokeo,hakitoki kitu mpaka kieleweke kauli kutoka kwa wananchi hao ambao walisema sheria ya mita 200 ilikuwa wakati wa kupiga kura si kusubiri matokeo.
 Msimamzi wa uchaguzi jimbo hilo Naomi Nnko akiendelea na kazi huku mbunge mteule akifuatilia kwa makini kusijetokea uchakachuaji.
 Ulinzi umeimarishwa


 Mpaka mwisho tutaibuka washindi wanaimba
 Mbunge mteule Marwa Ryoba akiwa na hati yake baada ya kukabidhiwa na msimamizi wa uchaguzi



sikiliza hiyo

Tuesday, October 13, 2015

PICHA ZA MATUKIO MKUTANO WA KAMPEINI CCM -SERENGETI

 Wanachama na mashabiki wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakimsubiri Mwigulu Nchemba kwenye mkutano wa Kampeini wa kuwaombea kura wagombea wa chama hicho kwenye Uwanja wa Mbuzi mjini Mugumu.



 Wenye kupiga picha walipiga,kuimba na kucheza nao walikuwepo
 Helkopita ikutua uwanja wa NHC mjini Mugumu

 Wanafuatilia matukio hatua kwa hatua
 Hapa kazi tu wanaendelea

 Mwigulu alimwaga sera na kuwaombea kura wagombea wa chama hicho.
 kila mmoja alifika kivyake,wenye ujumbe haya ,wenye mabango nao hawakukosekana kama inavyosomeka hapo.
 SImu za mchina zinaendelea kuchukua kumbukumbu
 Ulinzi uliimarishwa






 Dk Anthony Dialo akimnadi mgombea ubunge viti maalum
Mgombea udiwani kata ya Mugumu naye aliomba kura