Fahari ya Serengeti

Friday, September 11, 2015

MATUKIO YA MWENGE SERENGETI

 Maafisa wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa na mkuu wa wilaya hiyo wa nne kutoka kushoto Ally Mafutah wakisubiri Mwenge kutoka wilaya ya Tarime.  Wanasubiri mwenge  Maandalizi ya mapokezi ya mwenge eneo la Mto Mara  Brass Band...