Fahari ya Serengeti

Saturday, February 14, 2015

WAJERUHIWA KWA TUHUMA ZA UCHAWI

 Charles Matara (61)mkazi wa kijiji cha Ikoma robanda wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara akiwa amelazwa hospitali Teule ya wilaya ya Nyerere kufuatia kupigwa na wananchi baada ya kutajwa kuhusika na mambo ya uchawi kijijini hapo.
 Akiwa kitanadani
 Nyangi Sospeter(42)mkazi wa kijiji hicho akiwa amelazwa wodi ya wajawazito kufuatia kupigwa na kuumizwa na wananchi kwa tuhuma za kujihusisha na mambo ya ushirikina
 Nyangi akiwa amelazwa
 Anasaidiwa kutembea kwenda kujisaidia kutokana na kupigwa na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili



0 comments:

Post a Comment