Wanafunzi wa Kisaka Sekondari wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakichota maji
Diwani wa kata ya Kisaka Chacha Togocho akiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe wa chama na serikali kutoka kata hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa jamii.
Diwani akigawa vifaa mbalimbali vya elimu,afya na michezo kwa vijiji vyote vya kata ya Kisaka wilaya ya Serengeti
Hakikisheni vitu hivi vinatumika vizuri kwa lengo la kunufaisha jamii,anasisitiza,
Akina mama hawakusahaulika
pokeeni na mkavitumie vizuri
Nawapenda sana wananchi wangu anasema diwani
Michezo ni afya ,vijana chezeni kwa ajili ya kuibua vipaji
Pokea mpira na sare mkacheze michezo kwa ajili ya afya na kuibua vipaji
0 comments:
Post a Comment