Safari yamkuelekea ofisi ya jimbo la Bunda inaendelea
Wenye baiskeli hawakubaki nyuma
Hatimaye wakafika ofisi ya jimbo
Pambana pambana utafanikiwa
Safari ya kutafuta uwakilishi ina mbinu zake
Safari inaendelea
Ulinzi uliimarishwa
People's anasikika...
Sunday, June 28, 2015
Tuesday, June 23, 2015
Sheria za Kimila ‘zaifunika’ Serikali wilayani Serengeti
tangazo
linalowazuia zaidi ya watu 200, wakazi wa wilaya hiyo kuingia katika nyumba ya
mtu, kuongea na watu waliotengwa au kupata huduma za kijamii kijijini hapo.
Tangazo
lililosambazwa katika Ofisi za Serikali za Kata na maeneo mengine
wilayani Serengeti,...