MGOGORO WA ARDHI WAPELEKEA KUKATWA PANGA
MIGOGORO YA ARDHI IMEGEUKA KUWA MAJANGA KILA KONA HAPA NCHINI
MTUHUMIWAAKITIBIWANCHINI YA ULINZI WA POLISI
ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA MCHOMOKO NYAMONGO...
Thursday, November 27, 2014
Wednesday, November 26, 2014
CHEREKO CHEREKO ZA HARUSI
WANAMSINDIKIZA BIBI HARUSI KWA MGUU HUKU WAKICHEZA NGOMA YA KIKURYA,BIBI HARUSI ALILAZIMIKA KUTEMBEA KWA ZAIDI YA KILOMETA 12 KWA MGUU HUKU WASINDIKIZAJI WAKICHEZA
BURUDANI ZINAENDELEA KILA WAFIKAPO ENEO MOJA .
...
Monday, November 24, 2014
BAADA YA KAZI NYINGI KUKAA KWA PAMOJA HUSAIDIA KUJIFUNZA ,HAWA NI WAANDISHI WA HABARI KAMPUNI YA MCL NYANZA
WANAKULA,KUNYWA LAKINI WANATAFAKARI MAJUKUMU YAO
MAMBO YAKIENDELEA NDANI YA LAKE HOTEL
KAZI ZA UANDISHI HUSABABISHA USONGO ,LAKINI MPATAPO MUDA WA KUKAA PAMOJA HUIFANYA AKILI IZALIWE UPYA
KILA MMOJA NA KINYWAJI CHAKE
NYANZA INAKWENDAJE...
Saturday, November 15, 2014
ZIARA YA MAFUNZO YA WANAFUNZO WA SHULE YA MSINGI LITTLE FLOWER MJINI MUSOMA
WANAFUNZI WA SHULE YA LITTLE FLOWER YA MJINI MUGUMU WILAYANI SERENGETI WAKIANGALIA BAADHI YA VITU WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI MUSOMA
KUMBUKUMBU NI MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPO
WANAFUATILIA MAMBO MBALIMBALI
SISTA NAYE AKIJIPA RAHA MATIVILLA...
SERIKALI YA KIJIJI CHA MAKUNDUSI YAANIKA MAFANIKIO YAKEKJ
DARASA LA AWALI SHULE YA MSINGI KEWAMBOGO KIJIJI CHA MAKUNDUSI WILAYA YA SERENGETI ,MADARASA HAYO KATIKA SHULE ZA NYAKITONO,MAKUNDUSI NA KEWAMBOGO YALIJENGWA NA KIJIJI KWA KUTUMIA MAPATO YANAYOTOKANA NA UHIFADHI.
MADARASA
NYUMBA YA MWALIMU SHULE YA MSINGI...