Mtuhumiwa wa wizi wa sh 860,000 mtaa wa Sedeko wilayani Serengeti akiwa anaombewa na mchungaji wa kanisa la Pefa
Friday, October 31, 2014
Tuesday, October 28, 2014
MTUHUMIWA WA WIZI APANDISHA MAJINI BAADA YA KUKAMATWA
Askari wa mgambo na wananachi wakiwa wamemdhibiti dada huyo mkazi wa mtaa wa Sedeko mjini Mugumu wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za kukwapua sh,860,000 na kununua nguo,simu na vitu
Yuko chini ya ulinzi na vitu alivyonunua akipelekwa ofisi ya mtendaji kata
Kadhibitiwa
Yuko chini ya ulinzi na vitu alivyonunua akipelekwa ofisi ya mtendaji kata
Kadhibitiwa
Sunday, October 26, 2014
Kongamano la kujadili mikakatiya kupambana na ujangili laweka maazimio
wadau wa utalii wakifuatilia mjadala
DC wa Ngorongoro Elias Wawa Lali akiotoa maelezo kwa washiriki wa kongamano la kupambana na ujangili kwa wadau wa utalii walioko kanda ya ikolojia ya Serengeti lililoandaliwa na shirika la Sederec kwa ufadhili wa Mtandao wa Mazingira Tanzania.

Monday, October 20, 2014
LIGI DARAJA LA NNE NGAZI YA WILAYA YA SERENGETI KUANZA KUTIMUA VUMBI N0VEMBA
MAZOEZI YANAENDELEA UWANJA WA POLISI MUGUMU
HAPITI MTU HAPA
MAANDALIZI YA LIGI DARAJA LA NNE NGAZI YA WILAYA YAPAMBA MOTO
WAAMZI NAO WAKIJIWEKA SAWA
SERENGETI MEDIA CENTRE KWA KUSHIRIKIANA NA SEDEREC WAENDESHA TAFITI ,NINI KIFANYIKE ILI KUDHIBITI UJANGILI WA TEMBO NA FARU
Wakazi wa kijiji cha Bonchugu wilayani Serengeti wakijadili mikakati ya kudhibiti ujangili wa tembo ,na kuomba ushirikishwaji jamii ndiyo njia pekee
Wanawake nao walishiriki,ingawa wanadai hamsini kwa hamsini lakini hawawezi kuzungumza mbele ya wanaume kutokana na mfumo dume.
Wanafuatilia mjadala,picha zote na Serengeti Media Centre
Wanawake nao walishiriki,ingawa wanadai hamsini kwa hamsini lakini hawawezi kuzungumza mbele ya wanaume kutokana na mfumo dume.
Wazee walidai washirikishwe kikamilifu na kuomba kuwe na mipango inayonufaisha jamii iliyoko pembezoni mwa maeneo yaliyohifadhiwa, |
YALIYOJIRI UCHANGIAJI WA CHUO CHA UTALII
KABLA YA HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO CHA UTALII SERENGETI WAGENI WALIAMUA KUTEMBELEA CHUO NA KUONA NINI WANAWEZA KUSAIDIA
MKURUGENZI WA UTALII WA KAMPUNI YA SINGITA GURUMETI RESERVES JASON TROLLIP AKIJADILIANA NA MENEJA WA CHUO CHA UTALII CHA SERENGETI SAMWEL PETER MARWA,NA KUAHIDI KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA KWA SH MILIONI 19.5
WANACHUO CHA UTALII CHA SERENGETI WALISHIRIKI TUKIO ZIMA
WAGENI WAALIKWA MR BENNY NA MKEWE KUTOKA SHIRIKA LA GIZ

HAPA WAGENI WAALIKWA WANATEKELEZA HITAJI LA RATIBA YA SHUGHULI,NI WAKATI WA CHAKULA
Sunday, October 19, 2014
WANANCHI WADAI UJANGILI UTAKWISHA KWA KUSHIRIKISHWA SI KUNUNUA SILAHA NA HELKOPITA
WAKAZI WA KIJIJI CHA MISEKE KATA YA MANCHIRA WILAYA YA SERENGETI WAKIWA KWENYE MKUTANO WA KUJADILI MIKAKATI YA KJUDHIBITI UJANGILI WA TEMBO,WAMEIOMBA SERIKALI ISIWE YA KUTOA MATAMKO BILA KUFANYA UTAFITI KWA NINI UJANGILI ULIPUNGUA MIAKA YA 80-90 NA KWASASA KWA NINI UMEONGEZEKA,WAFIKE VIJIJI WAAMBIWE,
TEMBO AKILA MAZAO ASKARI HAWAFIKI,AKIUAWA TEMBO MAGARI HUJAA NA ASKARI,MAHUSIANO YA JAMII NA WAHIFADHI YANATAKIWA KUJENGWA KWA KUTATUA MATATIZO KWA PANDE ZOTE,WANANCHI WANADAI
TUNADILIANA
MAJADILIANO YANAENDELEA
WANAWAKE WAKIJADILIANA KUHUSU TATIZO LA UJANGILI,PAMOJA NA KUDAI HAMSINI KWA HAMSINI HAWAWEZI KUJADILI MASUALA MBELE YA WANAUME.
WANANCHI NDIYO WAHIFADHI WA KWANZA LAKINI MATATIZO YA UJANGILI YANAZUNGUMZWA MAREKANI,LONDON WAO HAWAFIKIWI ILI KUWEKA MIKAKATI YA PAMOJA NAMNA YA KUKABILIANA NA UJANGILI.
SERENGETI MEDIA CENTRE ILIPOKUTANA NA WANANCHI WAIISHIO KANDO KANDO YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI,MAPORI YA AKIBA NA HIFADHI YA JAMII ILIWAWEZESHA KUJUA NINI KINATAKIWA KUFANYIKA ILI KUKABILIANA NA WIMBI LA UJANGILI WA TEMBO KATIKA MAENEO YALIYOHIFADHIWA,USHIRIKISHWAJI JAMII NDIYO SILAHA YA KWANZA IMEELEZWA.

YALIYOJIRI KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO CHA UTALII SERENGETI
WANACHUO CHA UTALII CHA SERENGETI WAKIWA ENEO LA HOTELI YA GIRAFFFE KABLA SHUGHULI HAIJAANZA
WANASUBIRI WAGENI
WANAJADILIANA MAMBO MBALIMBALI
MSOSI KWA WAGENI ULIANDALIWA KITAALAM
KAZI NA DAWA
MSOSI ULIANDALIWA KITAALAM
MWENYEKITI WA BODI YA CHUO VICTOR RUTONESHA AKIWASHUKURU WAGENI WALIOFIKA NA KUCHANGIA UJENZI WA JENGO LA MAKTABA NA JENGO LA UTAWALA AMBAPO KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI ILICHANGIA SH 19.5 MILIONI KWA AJILI YA KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA
MAMBO KAMA HAYO YANAPATIKANA MJINI MUGUMU
WANASUBIRI WAGENI
WANAJADILIANA MAMBO MBALIMBALI
MSOSI KWA WAGENI ULIANDALIWA KITAALAM
KAZI NA DAWA
MSOSI ULIANDALIWA KITAALAM
Wednesday, October 15, 2014
WAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE KWA MCHEZO WA BAO
WACHEZAJI WA BAO WA MJINI MUGUMU WILAYA YA SERENGETI SIKU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 YA KIFO CHA MWALIMU
MASHINDANO YANAENDELEA
MASHINDANO YANAENDELEA
Wednesday, October 8, 2014
MATUKI YA MCHEZO KATI YA IGWE FC YA MUSOMA NA RUTIGINGA FC
WACHEZAJI WA TIMU YA IGWE YA MJINI MUSOMA WAKIOMBA DUA KABLA YA KUANZA PAMBANO LAO NA TIMU YA RUTIGINGA FC YA MJINI MUGUMU SERENGETI KWENYE UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE MJINI MUGUMU |