KATIBU TAWALA WILAYA YA SERENGETI COSMAS QAMARA AKISAINI KITABU KABLA YA KUFUNGUA MAFUNZO YA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU SERENGETI,KULIA KWAKE NI AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA WILAYA SUNDAY WAMBURA.
WASAIDIZI WA KISHERIA WAKIWA WANAENDELEA...
Wednesday, December 31, 2014
Saturday, December 13, 2014
WAKWEPA KUKEKETWA
WATOTO HAWA WAMEKIMBIA KUKEKETWA,MAANDALIZI YALIKUWA YAMEKAMILIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUFUNGIWA HIRIZI ASIVUJE DAMU KAMA INAVYOONEKANA.
BAADHI YAWATOTO WALIKIMBIA KUKEKETWA WAKIWA KATIKA NYUMBA SALAMA KANISA LA ANGLIKANA MUGUMU SERENGETI.
...
Monday, December 8, 2014
MKUTANO WA INJILI WAFANYIKA
WAUMINI WA MADHEHEBU MBALIMBALI WAKIFUATILIA UIMBAJI
WANAMSIFU MUNGU KWA KUIMBA
MPIGIE MUNGU KELELE ZA SHANGWE
MTU HATAISHI KWA MKATE BALI KWA NENO LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA
...
Sunday, December 7, 2014
UZINDUZI WA BWALO LA POLISI SERENGETI
RPC MKOA WA MARA PHILP KALANGI AKIKARIBISHWA ENEO LA BWALO
RPC AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA WILAYA
UZINDUZI UNAFANYIKA KAMA INAVYOONEKANA
MAMBO YANAZIDI KUONGEZEKA
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI AKITOA UTARATIBU
VINYWAJI...
Friday, December 5, 2014
KAMPEINI ZA CUF MJINI MUGUMU SERENGETI
KAMISHINA WA NCCR MAGEUZI MKOA WA MARA AKIWATAMBULISHA WAGOMBEA WA NAFASI ZA VITONGOJI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MUGUMU WILAYA YA SERENGETI KWA TIKETI YA CUF
BAADHI YA WAGOMBEA WA VITONGOJI
WAGOMBEA WAKIWA KWA PAMOJA
VIONGOZI WA KIWA WANAJADILIANA
HUYO...