KATIBU TAWALA WILAYA YA SERENGETI COSMAS QAMARA AKISAINI KITABU KABLA YA KUFUNGUA MAFUNZO YA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU SERENGETI,KULIA KWAKE NI AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA WILAYA SUNDAY WAMBURA.
MWEZESHAJI MILAMBO AKIENDELEA AKITOA DOZI KWA WASAIDIZI WA KISHERIA
WANAENDELEA NA MAFUNZO
ANAWASILISHA KAZI ZA VIKUNDI
MWENYEKITI MTENDAJI WA SHIRIKA LA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WILAYA YA SERENGETI SAMWEL MEWAMA AKIWA NA MWEZESHAJI MILAMBO
ANASISITIZA JAMBO
ANATOA ANGALIZO WASIJIGEUZE MAWAKILI