MKURUGENZI WA SHIRIKA LA SEDEREC DAMIAN THOBIAS AKIELEZA LENGO LA WARSHA ILIYOSHIRIKISHA WATENDAJI WA KATA ,MAAFISA TARAFA KWA AJILI YA KUPITIA MKAKATI WA USIMAMZI WA MIPANGO YA MAENDELEO NGAZI YA KATA HASA UJENZI WA MAABARA WILAYANI SERENGETI CHINI YA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY UKUMBI WA JAMII.
UFAFANUZI UNAENDELEA
WASHIRIKI WA WARSHA
AFISA WA TAKUKURU AKIELEZA UMUHIMU WA USHIRIKISHAJI JAMII WAKATI WA KUPANGA NA KUTEKELEZA MIRADI,IKIWA NI PAMOJA NA KUFAUTA TARATIBU ZA SHERIA YA MANUNUZI.
MHANDISI WA UJENZI WILAYA AKIELEZA NGAZI WANAZOTAKIWA KUFUATA WAKATI WA UTEKELEZAJI MIRADI .
KATIBU TAWALA WILAYA COSMAS QAMARA AKIFUNGUA WARSHA HIYO NA KUSISITIZA WATENDAJI WA KATA WASOME MAPATO NA MATUMIZI KWA WANANCHI NA WAFANYE KAZI KWA UWAZI ILI KUJENGA IMANI KWA JAMII.
AFISA ELIMU WILAYA WILLIAM MABANGA AKISISITIZA JAMBO
MKAGUZI WA NDANI AKITOA UFAFANUZI
PICHA YA PAMOJA
ANASISITIZA JAMBO
MSISITIZO
0 comments:
Post a Comment