Fahari ya Serengeti

Saturday, January 3, 2015

MWENYEKITI AWASHANGAZA WENGI AANZA KUTEKELEZA AHADI KABLA YA KUAPISHWA

 FUNDI WA TANESCO WILAYA YA SERENGETI AKIENDELEA NA SHUGHULI ZA KUSAMBAZA NYAYA ZA UMEME  KATIKA KITONGOJI CHA CHAMOTO MAMLAKA YA MJI WA MUGUMU,IKIWA NI UTEKELEZAJI WA AHADI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI HICHO JOSEPH RHOBI MAGOIGA(CUF) ALIZOTOA WAKATI WA KAMPENI ZA SERIKALI Z MITAA,UTEKELEZAJI HUO UMEANZA IKIWA NI SIKU 15 BAADA YA KUCHAGULIWA NA HAJAAPISHWA,
 MWENYEKITI WA KITONGOJI HICHO JOSEPH MAGOIGA AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA CUF WILAYA AMETUMIA ZAIDI YA SH 3.5 MILIONI KWA AJILI YA KUNUNUA NGUZO 15 AMBAZO ZITATUMIKA KUSAMBAZA UMEME ENEO HILO AMBALO LICHA YA KUWA MAMLAKA YA MJI LAKINI HAWAKUWAHI KUPATA NISHATI HIYO HUKU WAKIDAI WALIISHI KWA AHADI ZA VIONGOZI.
 KAZI INAENDELEA NA UMEME UNATARAJIWA KUWASHWA JANUARI 15 MWAKA HUU.
 ANASAIDIANA NA MAFUNDI
 BAADA YA KUKAMILIKA KWA KUWEKA UMEME AHADI YA PILI NI KUWASAMBAZIA MAJI WAKAZI WA KITONGOJI HICHO ,ANASEMA WANANCHI WANATAKIWA KUTOFAUTISHA UONGOZI WA CUF NA CCM KWA KUWA WAMEISHI KWA AHADI MUDA WOTE ,LAKINI WALIPOMCHAGUA AMEANZA UTEKELEZAJI.








0 comments:

Post a Comment