BAADHI YA WATOTO WALIOKIMBIA KUKEKETWA WAKIWA WANAONYESHA IGIZO JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI WAKATI WA KUHIMISHA MAFUNZO KWENYE NYUMBA SALAMA ILIYOKO KANISA ANGLIKANA WILAYA YA SERENGETI DAYOSISI YA MARA,AMBAPO JUMLA YA WATOTO 134 KUTOKA MAENEO MBALIMBALI WALIKIMBIA KUKEKETWA.
IGIZO LINAENDELEA
UJUMBE UNATOLEWA KWA JAMII KUHUSU MADHARA YA UKEKETAJI
WANAWASILISHA UJUMBE ILI JAMII IACHANE NA MFUMO HUO UNAOSABABISHA MADHARA KIAFYA
BAADHI YAO WAKIFUATILIA IGIZO
WANAFUATILIA
WADAU MBALIMBALI WANAOPINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA WALIKUWEPO,IKIWEMO NA DAWATI LA JINSIA LA POLISI SERENGETI
WANASEMA NYUMBA SALAMA NI KIMBILIO LA WANAPINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA.
UJUMBE UJUMBE,UJUMBE KILA KONA
ASKOFU ELIKIA OMINDO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA MARA AKITOA UJUMBE
PICHA YA PAMOJA
Friday, January 9, 2015
Home »
» MAFUNZO YA KUPINGA UKEKETAJI KWA WATOTO 134 WALIOKIMBILIA NYUMBA SALAMA KANISA LA ANGLIKANA MUGUMU SERENGETI YAHITIMISHWA
0 comments:
Post a Comment