Fahari ya Serengeti

3 comments:

  1. Kampuni ya Singita Grumeti Reserves Ltd yaridhia kulipa deni la zaidi ya sh 1.3 bil la Ikona Wma baada ya kikoa cha maridhiano chini ya Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu.

    Dc Babu amesema deni hilo litalipwa baada ya kikao cha baraza la Ikona Wma julai 10 na kuridhia makubaliano ya pande zote na wanategemea julai 11 mwaka huu waweke fedha hzio kwenye akaunti ya jumuiya hiyo ambayo ilikuwa inadai kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu.taarifa zaidi tembelea www.serengeti mediacentre.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Mwanafunzi wa kidato cha pili sekondari ya Ngoreme wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Michael Charles(18)amelezwa Kituo cha Afya Iramba baada ya kupigwa na mwalimu wake Damiani Chacha chanzo kikitajwa kutokamilisha kutengeneza mwiko kwa ajili ya matumizi ya shule.

    Mkuu wa wilaya hiyo Nurdin Babu amesema polisi wanamsaka mwalimu huyo kutokana na tuhuma hizo.

    ReplyDelete