Fahari ya Serengeti

Saturday, February 7, 2015

SIKU YA KUPINGA VITENDO VYA UKEKETAJI

Afisa tarfa ya Gurumeti wilaya ya Serengeti Paulo Shanyangi akiwa anebeba bango lenye kauli mbiu ya KATAA UKEKETAJI siku ya kupinga ukeketaji iliyofanyika kijiji cha Nyamakendo kata ya Machochwe chini ya uratibu wa Junuiya ya Kikristo Tanzania(CCT)
Ujumbe ujumbe
Wanaweka bango mara baada ya kupokelewa na mgeni rasmi
Mabango yakiwa na ujumbe tofauti kama inavyosomeka
Shanyangi akiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya wanawake ,jinsia na watoto Jumuiya ya Kikristo Tanzania(CCT)Mary Shuma.
Wazee wa mila wa koo ya Inchugu wa kata ya Machochwe wakiwa wanafuatilia burudani mbalimbali zenye ujumbe juu ya madhara ya ukeketaji.
Mary Shuma akitoa maudhui ya siku ya kupinga ukeketaji duniani.
Wanafunzi wa shule ya msingi Nyamakendo wakiwasilisha ujumbe kwa njia ya kuimba.
Igizo juu ya madhara ya ukeketaji kutoka kwa wanafunzi wa shule ya msingi Nyamakendo,
Wazee wa mila wakitoa maelekezo ya kuruhusu ukeketaji


Wanafunzi wa shule ya Msingi Nyamakendo wakitoa burudani zao.





Burudani,burudani,burudani
Burudani zinaendelea

Ngoma hiyo huwanyanyua watu wa rika mbalimbali kama inavyoonekana
Midadi inapompanda hutelemka hadi chini akikoleza muziki wa asili





Shuhuda mbalimbali zilitolewa kwa waliokimbia kukeketwa baadhi wamekataliwa na wazazi wao
Mwenyekiti wa wazee wa mila Mwita Tahimaha akieleza misimamo ya wazee wa mila kwenye suala la ukeketaji kuwa hawalazimishi bali jamii yenyewe ndiyo inaruhusu watoto wao.
Nasaha zinatolewa
Wanasikiliza

Wanafuatia burudani
Hawa waliamua kupanda juu ya miti ili waweze kuona burudani
Ujumbe unasomeka
Kukaa na kundi hili kwa m azungumzo hekima na busara yahitajika
wazee wa mila
Picha inajieleza anapata riziki

Wachezaji wa timu mbalimbali  zinazopinga vitendo vya ukeketaji wakishiriki maandamano.
Ujumbe
Kauli mbiu
Ujumbe umefika kama inavyoonekana
Ngoma maarufu kwa kabila la Wakurya ilikonga nyoyo za wananchi waliohudhuria
Ujumbe ujumbe kila kona.

0 comments:

Post a Comment