Fahari ya Serengeti

Wednesday, February 4, 2015

PICHA ZA MAZISHI YA ASKARI ALOYCE MAFURU ALIYEZIKWA BILA HUDUMA ZA KIDINI WALA KIJESHI


 JENEZA LIKIPOKELEWA NA KUPELEKWA NYUMBANI KWAO MTAA WA NHC MUGUMU WILAYA YA SERENGETI
 VIJANA WALIJITOKEZA KUPOKEA JENEZA KAMA INAVYOONEKANA
 ASKARI POLISI NAO WALIJUMUIKA KUPOKEA MWILIWA MWENZAO ALIYEAMUA KUJIUA KWA KUJIPIGA RISASI MDOMONI HUKO MANYONI MKOA WA SINGIDA FEB,2,2015


 JENEZA LINAONGIZWA NDANI YA BANDA LILILOANDALIWA NA MAITI YAKE HAIKUINGIZWA NDANI YA NYUMBA KWA KILE KILICHODAIWA KUWA NI MKOSI.
 NDUGU WAKILIA AKWA UCHUNGU WAKATI MARA BAADA YA MWILI KUWASILI
 JENEZA LIKITELEMSHWA NDANI YA KABURI KWA AJILI YA MAZISHI
 WANASHUSHA TARATIBU



 WANASHUSHA CHINI ILI KURUHUSU HATUA YA KUZIKA


 PADRI ALOIS  MAGABE ANATOA NASAHA ZA MWISHO HUKU AKISISITIZA WATU WANAOJIUA KANISA HALINA NAFASI YA KUENDESHA IBADA YA MAZISHI

 HAKUWEZA KUZIKWA KIJESHI KUTOKANA NA KUJIUA TENDO LINALOCHUKULIWA KAMA UOGA

0 comments:

Post a Comment