WAKAZI WA KIJIJI CHA BONCHUGU WILAYA YA SERENGETI WAKISIKILIZA WATAALAM WA MFUMO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAKATI WA UZINDUZI ULIOFANYIKA KIJIJINI HAPO.
WATAALAM MBALIMBALI WALIKUWEPO
MAAFISA WA AFYA,UTAWALA NA NHIF WALIKUWEPO KWENYE UZINDUZI HUO.
KAMA KAWAIDA BURUDANI ZILITAWALA,NGOMA YA ASILI TOKA KIKUNDI CHA UPENDO ILIKONGA NYOYO ZA WATU.
0 comments:
Post a Comment