Fahari ya Serengeti

Monday, October 20, 2014

SERENGETI MEDIA CENTRE KWA KUSHIRIKIANA NA SEDEREC WAENDESHA TAFITI ,NINI KIFANYIKE ILI KUDHIBITI UJANGILI WA TEMBO NA FARU

 Wakazi wa kijiji cha Bonchugu wilayani Serengeti wakijadili mikakati ya kudhibiti ujangili wa tembo ,na kuomba ushirikishwaji jamii ndiyo njia pekee
 Wanawake nao walishiriki,ingawa wanadai hamsini kwa hamsini lakini hawawezi kuzungumza mbele ya wanaume kutokana na mfumo dume.
Wazee walidai washirikishwe kikamilifu na kuomba kuwe na mipango inayonufaisha jamii iliyoko pembezoni mwa maeneo yaliyohifadhiwa,
 Wanafuatilia mjadala,picha zote na Serengeti Media Centre


0 comments:

Post a Comment